Mohamed Ait El Hadj

Mohamed Ait El Hadj (kwa Kiarabu: محمد آيت الحاج; alizaliwa 22, Machi, 2002) ni mchezaji wa kandanda wa Algeria anayechezea USM Alger, katika Ligi ya Algeria Professionnelle 1.

Kazi hariri

Mnamo Tarehe 16 Januari 2022, Mohamed Ait El Hadj alicheza mechi yake ya kwanza ya ligi akiwa na timu ya USM Alger dhidi ya MC Alger.[1][2]

Takwimu Za Kazi hariri

Klabu Kuanzia tarehe 28 Desemba 2022[3]

Kazi Yake kimataifa hariri

Mnamo Desemba 2022, Mohamed Ait El Hadj aliitwa na Madjid Bougherra kwa mara ya kwanza kwenye Timu ya Taifa ya Algeria A' katika kambi ya mazoezi ya wiki moja huko Algiers.Pia Mnamo Januari 2, 2023, Ait El Hadj alichaguliwa katika kikosi cha wachezaji 28 kitakachoshiriki michuano ya Mataifa ya Afrika ya 2022.

Heshima hariri

  • Kombe La Shirikisho La CAF Mwaka 2022-23[4]

Marejeo hariri

  1. "USM ALGER VS. MC ALGER 1 - 1". 
  2. "KABYLIE VS. USM ALGER 1 - 1". 
  3. "Mohamed Ait El Hadj", Soccerway. 
  4. "USM Alger Lift CAF Cup Despite Home Loss To Young Africans". barrons.com. June 3, 2023. Iliwekwa mnamo June 4, 2023.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Ait El Hadj kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.