Mohamed Fungafunga

Mohamed Fungafunga, anayetambulika zaidi kwa majina yake ya uigizaji Jengua[1] na Mzee Jengua, alikuwa mwigizaji na mchekeshaji mkongwe wa Tanzania[2] ambaye alionekana katika filamu na vipindi vya televisheni zaidi ya mia moja katika kazi iliyochukua zaidi ya miaka 15.

Marejeo hariri

  1. "Jengua afariki Dunia". Mwanaspoti (kwa Kiingereza). 2020-12-15. Iliwekwa mnamo 2023-05-14. 
  2. "Bongo Veteran actor and Comedian Mzee Mohammed Fungafunga alias Mzee Jengua dies". Bana Kenya | Bana News | Bana TV | Bana Media (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2023-05-14. 
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Fungafunga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.