Mohamed Yakub Janabi

Profesa Mohamed Yakub Janabi ni Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili tangu Oktoba 2022 mpaka sasa. Kabla ya Hapo alikuwa Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali ya Jakaya Kikwete.

Mwaka 2005 alichaguliwa kuwa daktari binafsi wa Rais mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.[1]

Disemba 8 2024 ameteuliwa kuwa mshauri wa Raisi kwenye maswala ya afya, akiwa anaendelea na majukumu yake kama Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali ya taifa Muhimbili.[2]

Elimu yake

hariri

Dkt. Janabi amepata kusoma katika vyuo mbali mbali ndani na nje ya Tanzania. Vyuo hivyo ni pamoja na:-

  1. Kharkov Medical Institute (Russia)
  2. Liverpool School of Tropical Medicine (England)
  3. University of Queensland Medical School (Australia)
  4. Graduate School of Medicine Osaka University Hospital (Japan)
  5. Bergen University (Norway).[3]

Tanbihi

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-03-30. Iliwekwa mnamo 2024-03-30.
  2. http://www.ikulu.go.tz
  3. https://www.madaktari.org/eacc/bio-sketches/
  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Yakub Janabi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.