Mokgweetsi Masisi
Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi (amezaliwa 21 Julai 1962) ni Rais wa tano na wa sasa wa Botswana, amehudumu tangu mwaka 2018.
Mokgweetsi Masisi | |
Mokgweetsi Masisi, 2023 | |
Rais wa Botswana
| |
Muda wa Utawala 1 Aprili 2018 – 1 Novemba 2024 | |
Makamu wa Rais | Slumber Tsogwane |
---|---|
mtangulizi | Ian Khama |
aliyemfuata | Duma Boko |
Mwenyekiti wa Botswana Democratic Party
| |
Muda wa Utawala 1 Aprili 2017 – 4 Aprili 2018 | |
mtangulizi | Ian Khama |
aliyemfuata | Slumber Tsogwane |
Makamu wa Rais wa Botswana
| |
Muda wa Utawala 12 Novemba 2014 – 1 Aprili 2018 | |
Rais | Ian Khama |
mtangulizi | Ponatshego Kedikilwe |
aliyemfuata | Slumber Tsogwane |
Muda wa Utawala 2009 – 1 Aprili 2018 | |
Rais | Ian Khama |
mtangulizi | Maitlhoko Mooka |
aliyemfuata | Karabo Gare |
tarehe ya kuzaliwa | 21 Julai 1961 Moshupa, Bechuanaland (sasa Botswana) |
chama | Botswana Democratic Party |
ndoa | Neo Maswabi (m. 2002–present) |
watoto | 1 |
mhitimu wa | Chuo Kikuu cha Botswana Florida State University |
Nickname(s) | Sisiboy |
Aliwahi kuwa Waziri wa Elimu tangu mwaka 2014, na hapo awali alikuwa Waziri wa Mambo ya Rais na Utawala wa Umma kuanzia mwaka 2011 hadi 2014. Alichaguliwa kwa Bunge la kwanza mnamo 2009.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mokgweetsi Masisi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |