Molham "Mo" Babouli (alizaliwa Umoja wa Falme za Kiarabu, Januari 2, 1993) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambaye anachezea timu ya York United katika Ligi Kuu ya Kanada.

Babouli mwaka 2024

Aliwakilisha Kanada katika kiwango cha vijana na kwa sasa anawakilisha timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Siria.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. Rollins, Duane (Novemba 3, 2014). "TFCA 4 - CS Longueuil 0". League1 Ontario. Iliwekwa mnamo Novemba 9, 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Rollins, Duane (Novemba 9, 2014). "Toronto FC Academy 0 - CS Longueuil 0". League1 Ontario.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Molham Babouli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.