Monique Ohsan Bellepeau

Agnès Monique Ohsan Bellepeau GOSK (alizaliwa mwaka 1942) ni mwanasiasa wa Mauritius na alikuwa makamu wa nne wa rais wa Mauritius kuanzia Novemba 2010 hadi Aprili 2016.[1]

Alikuwa rais wa muda wa Mauritius kuanzia tarehe 31 Machi 2012 hadi tarehe 21 Julai 2012 wakati Sir Anerood Jugnauth alipojiuzulu hadi kuapishwa kwa Kailash Purryag katika ofisi.

Alikuwa tena rais wa muda kuanzia tarehe 29 Mei 2015 hadi tarehe 5 Juni 2015 wakati Kailash Purryag alipojiuzulu hadi kuapishwa kwa Ameenah Gurib katika ofisi.

Marejeo

hariri
  1. "Former Vice Presidents", Vice President website. Retrieved on 23 November 2019. Archived from the original on 2019-01-01. 
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Monique Ohsan Bellepeau kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.