Montell Jordan
Montell Jordan (amezaliwa tar. 3 Desemba 1968) ni mwimbaji, mtunzi wanyimbo, na mtayarishaji wa rekodi za muziki kutoka nchini Marekani. Jordan amekuwa msanii wa kujitegemea mkubwa kwenye studio ya Def Soul hadi hapo alipokuja kuondoka kwenye studio hiyo mnamo mwaka wa 2003.
Montell Jordan | |
---|---|
Montell Jordan, mnamo 2008
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Montell Du'Sean Barnett[1] |
Amezaliwa | 3 Desemba 1968 Los Angeles, California, Marekani |
Aina ya muziki | R&B, New Jack Swing, Hip hop |
Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa rekodi |
Miaka ya kazi | 1994–mpaka sasa |
Studio | PMP/RAL, Def Soul (1995–2002) Koch (2003–2004) Universal/Fontana (2008) |
Ame/Wameshirikiana na | Shae Jones |
Tovuti | montellmusic.com |
Diskografia
hariri- This Is How We Do It (1995)
- More… (1996)
- Let's Ride (1998)
- Get It On…Tonite (1999)
- Montell Jordan (2002)
- Life After Def (2003)
- Let It Rain (2008)
Marejeo
haririViungo vya Nje
hariri- Official site Ilihifadhiwa 23 Septemba 2017 kwenye Wayback Machine.
- Montell Jordan at the Internet Movie Database
- April 2006 Full online interview Ilihifadhiwa 25 Agosti 2006 kwenye Wayback Machine.
- Montell Jordan katika MySpace
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Montell Jordan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |