Moon Jae-in

Moon Jae-in (kwa Kikorea: 문재인; Hanja: 文在寅; amezaliwa 24 Januari 1953) ni mwanasiasa wa Korea Kusini na wakili wa haki za binadamu anayehudumu kama Rais wa Korea Kusini tangu mwaka 2017.

-UNGA (48784859817) (cropped).jpg
Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Moon Jae-in kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.