Moro United F.C. ni klabu ya soka ya Tanzania yenye makao yake mjini Morogoro; walicheza mara ya mwisho katika Ligi Kuu ya Tanzania msimu wa 2011/12. Michezo yao ya nyumbani inachezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Moro United F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.