Morondava
Morondava ni mji mkuu wa mkoa wa Menabe nchini Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 39,895.
Morondava | |
Mahali pa mji wa Morondava katika Madagaska |
|
Majiranukta: 20°17′0″S 44°19′0″E / 20.28333°S 44.31667°E | |
Nchi | Madagaska |
---|---|
Mkoa | Menabe |
Wilaya | Morondava |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 39,895 |
Tazama pia
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Madagaska bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Morondava kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |