Moses Kuria

Mwanasiasa wa Kenya na Katibu wa Baraza la Mawaziri wa Biashara, Uwekezaji na Maendeleo ya Viwanda

Moses Kuria ni mwanasiasa wa Kenya[1], aliyechaguliwa mwaka wa 2017 kuwa mbunge wa eneo bunge la Gatundu Kusini, ambapo raisi wa nne wa jamhuri ya Kenya Uhuru Kenyatta alizaliwa.

Tanbihi hariri

  1. "Habari ya Moses Kuria". Tuko.co.ke - Kenya news. (kwa Kiswahili). Iliwekwa mnamo 2022-03-30. 
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Moses Kuria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.