Mozes Adams (amezaliwa Saminaka, Kusini mwa Jimbo la Kaduna, Nigeria 21 Julai 1988) ni mchezaji wa soka wa Nigeria. Adams anacheza katika kiungo cha kati na alichezea mwisho KVC Westerlo huko Ubelgiji.

Taaluma ya kimataifa hariri

Adams alikuwa mwanachama wa timu ya taifa ya vijana ya Nigeria U-20 katika Kombe la Dunia la FIFA la Vijana chini ya miaka 20 huko Canada.[1]

Marejeo hariri

  1. Mozes Adams FIFA competition record
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mozes Adams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.