Mpango wa usimamizi wa mazingira

Mpango wa usimamizi wa mazingira ni utaratibu ambao hutumika na wamiliki wa ardhi, watu, na vyombo vinavyohusika na usimamizi wa mazingira kuhamasisha utunzaji wa mazingira yao.