Bondia

(Elekezwa kutoka Mpiga ngumi)

Bondia (pia: mpiga ngumi au mwanamasumbwi) ni mwanamichezo anayetekeleza mchezo wa ngumi.

Mabondia wa Ugiriki ya Kale (mnamo 1500 BK)

Bondia ni mtu wa kiume au wa kike anayepigana na bondia mwingine kwa kutumia mikono inayofungwa kwa namna ya ngumi akifuata sheria na kanuni za mchezo huu. Kwa kawaida mabondia huvaa glovu. Kwa mapambano au mechi mabondia hupangwa kwa vikundi au daraja kulingana na uzito wao.

Mara nyingi mabondia hupangwa pia katika sehemu mbili: wale wanaofanya mchezo kwa ajili ya mchezo na wengine wanaocheza kwa pesa. Wanaojulikana zaidi ni mabingwa wa mchezo wa ngumi kwa pesa.

Mabondia=Edit

AEdit

BEdit

CEdit

DEdit

EEdit

FEdit

GEdit

HEdit

IEdit

JEdit

KEdit

LEdit

MEdit

NEdit

OEdit

PEdit

QEdit

REdit

SEdit

TEdit

UEdit

VEdit

WEdit

YEdit

ZEdit

Orodha za mabondiaEdit

Kuna taasisi na tovuti mbalimbali zinazoorodhesha mabondia mashuhuri kulingana daraja.