Mpilipili
Mpilipili au mpiripiri ni jina la miti au mimea mbalimbali ambayo ladha ya majani na/au matunda yao ni kali kama pilipili. Miti na mimea hiyo ni:
- Azima tetracantha (Mpilipili-tawa)
- Capsicum annuum (Mpilipili (Solanaceae))
- Capsicum annuum var. grossum (Mpilipili-hoho)
- Capsicum frutescens (Mpilipili-kichaa)
- Newtonia paucijuga (Mpilipili (Fabaceae))
- Piper nigrum (Mpilipili-manga)
- Schinus molle (Mpilipili (Anacardiaceae))
- Sorindeia madagascariensis (Mpilipili-doria)
- Warburgia stuhlmannii (Mpilipili (Canellaceae))