Tumelo Manyoni anayejulikana kitaalamu kama Mr JazziQ, ni DJ wa Amapiano kutoka Afrika Kusini na mtayarishaji wa rekodi. Anajulikana sana kwa kuwa mwanachama wa zamani wa amapiano DJ duo, JazziDisciples

Maisha ya awali na elimu hariri

Bw JazziQ alizaliwa na kulelewa huko Alexandra na bibi ake wakati wazazi wake walikaa kaskazini mwa Johannesburg. Alihudhuria shule ya Upili ya Wavulana ya Highlands North[1]

Marejeo hariri

  1. "Greenstone’s Mr JazziQ in the spotlight". bedfordviewedenvalenews.co.za. Iliwekwa mnamo 21 April 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mr JazziQ kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.