Mrisho Mpoto
Mrisho Mpoto (amezaliwa 27 Oktoba 1978[1]) ni msanii wa muziki wa dansi, sanaa ya jukwaani (theatre performances), mwandishi wa vitabu vya mashairi na hadithi zenye mafunzo, msanii wa ngoma za asili kutoka nchini Tanzania. Anafahamika sana kwa jina lake la utani kama Mjomba au Mpoto. Pia, anafahamika kwa kuimba nyimbo kama vile Salam Zangu Mjomba, Nikipata Nauli, Adela, Chocheeni Kuni, Samahani Wangangu, Mtu Huru, Waite na Njoo Uichukue alizoimba na Banana Zorro, Ismail Kipira, Felly Kano, Nuruel, Linah Sanga, Ditto, Peter Msechu, Diamond Platnums.
Mrisho Mpoto | |
---|---|
Mjomb akitumbuiza
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Mrisho Mpoto |
Pia anajulikana kama | "Mjomba" |
Amezaliwa | 27 Oktoba 1978 |
Asili yake | Songea, Tanzania |
Aina ya muziki | Dansi Hip Hop |
Kazi yake | Mwimbaji Mwanamuziki [[Mtunzi wa nyimbo]] |
Ala | Ngoma Sauti |
Miaka ya kazi | 1994 - hadi leo |
Ame/Wameshirikiana na | Irene Sanga<r>[[Banana |
Tovuti | Blogu |
Mrisho Mpoto ni mmoja kati ya waanzilishi wa kundi la muziki la Parapanda, baadae Mpoto Theatre.
Marejeo
- ↑ "Wasifu wa Mpoto katika BC-Bongo Celebrity". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-15. Iliwekwa mnamo 2009-05-14.
Viungo vya nje
- http://www.bongocelebrity.com/2007/11/26/ushairi-wa-mrisho-mpoto/#more-626 Ilihifadhiwa 15 Februari 2009 kwenye Wayback Machine.
- Blogu ya Mpoto
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mrisho Mpoto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |