Mshikamano (kutoka kitenzi kushika; kwa Kiingereza: Solidarity) ni hali ya kusaidiana sana katika kufanikisha lengo fulani, hasa kama wahusika wana hali ngumu.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mshikamano kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.