Msikiti wa Ijumaa, Mji Mkongwe

Msikiti wa Ijumaa ni msikiti uliopo Mji Mkongwe, Zanzibar, Tanzania.

Msikiti huo ulikarabatiwa kabisa mwaka wa 1994 kwa mtindo wa kisasa wa arabesque.

Marejeo hariri