Ana
(Elekezwa kutoka Mtakatifu Ana)
Ana (kutoka Kiebrania Hannah חַנָּה, yaani "fadhili") anaheshimiwa kama mama wa Bikira Maria na bibi wa Yesu kadiri ya mapokeo ya Ukristo na Uislamu, ingawa hatajwi katika Biblia wala katika Kurani, isipokuwa katika kitabu cha karne ya 2 kinachoitwa Injili ya Yakobo[1].
Humo anatajwa pia mume wake Yohakimu.
Wote wawili wanaheshimiwa kama watakatifu katika madhehebu mengi ya Ukristo, hasa tarehe 26 Julai[2][3].
Picha
hariri-
Picha takatifu ya Kimisri, karne ya 8
-
Ana akiwa na Maria na Kristo, Ujerumani, karne ya 15
-
Masimulizi juu ya Mt. Ana, Ujerumani, karne ya 15
-
Anna Selbdritt, Santiago de Compostela, Hispania
-
Anna Selbdritt, Huelgas, Hispania, imeathiriwa na picha takatifu za Kigiriki za aina "Hodegetria"
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Saint Anne at Patron Saints Index
- Brief American Catholic article on "Sts. Joachim and Ann" Ilihifadhiwa 2 Mei 2009 kwenye Wayback Machine.
- "Anna, Grandmother of Jesus" by Claire Heartsong Ilihifadhiwa 26 Machi 2012 kwenye Wayback Machine.
- St. Anne page Ilihifadhiwa 11 Novemba 2012 kwenye Wayback Machine. at Christian Iconography
- "Here Followeth the Nativity of Our Blessed Lady" Ilihifadhiwa 8 Oktoba 2012 kwenye Wayback Machine. from the Caxton translation of the Golden Legend
- The Protevangelium of James Ilihifadhiwa 15 Novemba 2011 kwenye Wayback Machine.
- The Gospel of Pseudo-Matthew
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |