Mtayarishaji wa filamu

(Elekezwa kutoka Mtayarishaji filamu)

Mtayarishaji wa filamu ni mtu anayeanzisha mandhari ya utengenezaji wa filamu. Mtayarishaji hutazama na kudhibiti vitu kama vile upatikanaji wa fedha ili kutengeneza filamu, kuajiri watu, na kupanga maandalizi ya kupeleka filamu kwa wasabambazaji. Matayarishaji wa filamu hu-husika katika kila sehemu ya uchakataji wa utayarishaji wa filamu kuanzia mwanzo hadi mwisho wa mradi. Kikawaida, huhesabiwa kama mfanyakazi mkuu na hana mamlaka na upande udhibiti wa usanii katika utangenezaji wa filamu, wakati mwongozaji ni kiongozi katika kupiga filamu na sehemu ya usanii.

Meta Louise Foldager, mtayarishaji wa filamu toka nchini Denmark

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtayarishaji wa filamu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.