Mtindi ni maziwa yaliyoganda na yenye ladha ya uchachu.

Mtindi

Unatumika kama kinywaji na kama kitoweo vilevile.