Mto (maana)

(Elekezwa kutoka Mto(Maana))

Mto ni neno la Kiswahili linaloweza kumaanisha:

  • Mto(nomino) - mkondo mkubwa wa maji yanayotiririka hasa kutoka nyanda za juu au milimani na humwaga maji katika maziwa au bahari.
  • Mto (nomino) – kifaa kinachotumika kuegemezea kichwa wakati unapolala au katika viti vya kupumzikia.Yaweza kuwa aina ya godoro dogo, sufi au vipande vidogo vidogo vya nguo vilivyokusanywa pamoja.
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.