Mto Adar (pia: Khor Adar na mto Yal) unapatikana Sudan Kusini, ukitokea kinamasi cha Machar.

Ni tawimto la Nile Nyeupe.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri