Mto Agwei (pia: Agvei, Agvey) ni korongo linalopatikana magharibi mwa Ethiopia na mashariki mwa Sudan Kusini.

Beseni la Mto Sobat.

Ni tawimto la mto Pibor linalopokea kwanza maji ya matawimto Abara na Kongkong.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Agwei kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.