Mto Aligide unapatikana Eritrea na kuishia katika Bahari ya Shamu baada ya kuungana na mto Comaile na mto Haddas.

Kabla ya hapo unapokea maji ya mto Barosio na mto Guwa.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri