Mto Engare Nairobi Kaskazini

Mto Engare Nairobi Kaskazini ni kati ya mito ya mkoa wa Arusha (Tanzania kaskazini).

Maji yake yanaelekea Bahari ya Hindi kupitia mto Galana.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri