Mto Gucha (pia: Kuja) unapatikana katika kaunti ya Migori, magharibi mwa Kenya, na unaishia katika ziwa Viktoria, ukichangia hivyo mto Naili na hatimaye Bahari ya Kati.

Beseni la mto Gucha.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri