Gurumeti ni mto wa mkoa wa Mara (Tanzania kaskazini) ambao maji yake yanaingia katika ziwa Viktoria na hatimaye yanaelekea Bahari ya Kati kupitia mto Naili.

Gurumeti is located in Tanzania
Gurumeti
Gurumeti
Mto Gurumeti wa Tanzania.

Majiranukta: 2°06′52" S 33°48′27" E

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri