Mto Ishasha unaanzia nchini Uganda (wilaya ya Kabale) na kuwa sehemu ya mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Mito na maziwa ya Uganda.

Unachangia ziwa Edward ambalo kupitia mto Semliki linapeleka maji yake katika ziwa Albert na hatimaye katika mto Naili.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Ishasha kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.