Mto Itare unapatikana katika kaunti ya Bomet nchini Kenya. Ni tawimto la mto Awach ambao unaishia katika ziwa Viktoria, ukichangia hivyo mto Naili na hatimaye Bahari ya Kati.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri