Coordinates: 8°24′S 31°18′E / 8.400°S 31.300°E / -8.400; 31.300

Mto Kalambo ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania (upande wa kusini magharibi, mkoa wa Rukwa) na ya Zambia (upande wa kaskazini), ukiwa mpaka kati ya nchi hizo mbili kwa sehemu fulani.

Maporoko ya Kalambo

Ni maarufu kwa maporomoko yake. Maji yake yanaishia bahari ya Atlantiki kupitia ziwa Tanganyika na mto Kongo.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri


Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Kalambo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.