Mto Katonga unapatikana nchini Uganda, ukiunganisha ziwa Nyanza na ziwa Dweru.

Mito na maziwa ya Uganda.

Siku hizi maji yake yanaelekea mashariki na kuchangia ziwa Nyanza[1]

Tanbihi

hariri
  1. Hughes, Hughes & Bernacsek; Bernacsek, G. M.; Hughes, J. S.; Hughes, R. H. (1992). "2.10 Uganda". A Directory of African Wetlands. IUCN/UNEP(WCMC). uk. 265. ISBN 2-88032-949-3. Iliwekwa mnamo 26 Februari 2014.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

hariri

00°12′N 30°50′E / 0.200°N 30.833°E / 0.200; 30.833