Mto Kayahwe

Mto Kayahwe unapatikana katika kaunti ya Murang'a, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika bahari ya Hindi.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit