Mto Kihuhui
Mto Kihuhui ni mto wa mkoa wa Tanga, Tanzania Kaskazini Mashariki.
Ni tawimto wa kusini wa mto Sigi ambao hatimaye unaingia katika Bahari Hindi kilometa 40 kaskazini kwa mji wa Tanga.
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Kihuhui kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |