Mto Komboki

Mto Komboki unapatikana katika kaunti ya Meru, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika bahari ya Hindi.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit