Lena

(Elekezwa kutoka Mto Lena)

Lena (Kirusi: Лена) ni mto wa Urusi. Urefu wake ni 4400 km.Iko katika mkoa wa Yakutia na Irkutsk Oblast.

Lena
Mto Lena
Mdomo Bahari ya Laptev
Nchi Urusi
Urefu 4,400 km
Mkondo 16,350 m³/s
Eneo la beseni 2,490,000 km²
Miji mikubwa kando lake Yakutsk

Inaishia kwenye Bahari ya Laptev amabyo ni sehemu ya Bahari Aktiki.

Tazama piaEdit