Mto Lokom unapatikana kaskazini mwa Uganda. Pia kuna korongo la jirani lenye jina hilohilo.

Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri