Mto Lukuga

Ni mto unaotoka katika Ziwa Tanganyika

5°40′00″S 26°55′00″E / 5.66667°S 26.91667°E / -5.66667; 26.91667

Mto Lukuga kutoka darajani huko Kalemie.
Mto Lukuga ukionyeshwa kwa rangi ya buluu iliyokolea.

Mto Lukuga ni tawimto la mto Lualaba katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambalo linapokea maji kutoka Ziwa Tanganyika na kuyatiririsha kwa kilometa 320.

Unapoingia katika mto Lualaba umejaa uchafu.

Tanbihi

hariri

Vyanzo

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Lukuga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.