Mto Mareb (au Gash) unaanzia katikati ya Ethiopia, unapitia Eritrea kaskazini hadi mashariki mwa Sudan ambapo kwa kawaida unapotea katika mchanga wa jangwani usifikie mto Atbarah, tawimto la Nile.

Mto Mareb

Unachangiwa na mto Obel.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Mareb kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.