Mto Mbaka ni kati ya mito ya mkoa wa Mbeya (Tanzania Kusini Magharibi) ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi kupitia ziwa Nyasa na mto Zambezi.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri