Mto Nairobi (Nyeri)
Mto Nairobi (Nyeri) unapatikana katika kaunti ya Nyeri, katikati ya Kenya. Huanza juu ya Mlima Kenya na ni tawimto la mto Sagana.
Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini[1], na hatimaye katika Bahari Hindi.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Rough Guide (2006). Rough Guide Map Kenya [map], 9 edition, 1:900,000, Rough Guide Map. Cartography by World Mapping Project. ISBN 1-84353-359-6.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Nairobi (Nyeri) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |