Mto Njombe
Mto Njombe ni mto wa Tanzania unaoanzia katika mkoa wa Mbeya, unapitia mpakani mwa mkoa wa Singida na mkoa wa Iringa. Hatimaye huingia katika mto Kisigo, tawimto la Ruaha Mkuu, unaotiririka hadi kuingia mto Rufiji ambao unaishia katika Bahari Hindi.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Njombe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |