Mto Nyamburo ni kati ya mito ya mkoa wa Mbeya (Tanzania Kusini Magharibi) ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi kupitia mto Rufiji.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri