Mto Nyamagasani

(Elekezwa kutoka Mto Nyamugasani)

Mto Nyamagasani unapatikana katika wilaya ya Kasese, magharibi mwa Uganda.

Maji yake yanaishia katika ziwa Edward, mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri