Mto Ora unapatikana katika Mkoa wa Kaskazini nchini Uganda.

Mito na maziwa ya Uganda.

Ni tawimto la Nile ya Albert.

Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri