Mto Osabukwi

Mto Osabukwi unapatikana katika kaunti ya Uasin Gishu, magharibi mwa Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki).

Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit