Mto Pager unapatikana kaskazini mwa Uganda (wilaya ya Kotido, wilaya ya Kitgum na wilaya ya Gulu) na kuingia katika mto Achwa ambao unaishia katika Nile Nyeupe nchini Sudan Kusini.

Mito na maziwa ya Uganda.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri