Mto Ragati unapatikana katika kaunti ya Kirinyaga, katikati ya Kenya.

Ni tawimto la mto Sagana, ambao unaingia katika mto Tana ambao ndio mrefu kuliko yote nchini na unaishia katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri