Mto Ruguti Kaskazini

Mto Ruguti Kaskazini unapatikana katika kaunti ya Meru, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika bahari ya Hindi.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri